Heaven on desert akiwa hotelin na boss wake

Kaka hata mimi uma nashika mkono wa kulia, ukweli cwezi kula kwa kutumia mkono wa kushoto kwani imani yangu na mfundisho niliyopata ni lazima kula kwa kutumia mkono wa kulia.Next tym B4 posting ur silly comments just ask urself why he did that,if ua bright enough u'll find the answer.
 
Huyu dogo mshamba sana..

Anaharbu jukwaa,nao mods wako busy na jukwaa la siasa tu....
 
the knife is wrongly placed...unless ujitetee you are a leftie
 
matumizi ya kutumia umma yameanza baada ya kugundulika chuma,fuatilia chuma kiligunduliwa wapi utapata jibu.

so hii ndo point ya kuhalalisha ndohuko na umma na visu vimetokea hata ndege ni chuma,

waarabu wengi ni waislamu kitabu chao kinahimiza matumizi ya mkono na ukila kwa kijiko ni suna kawaulize wabobevu wa dini watakwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…