heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Pasipo na Shaka my wazima nyote...me mzima kabisa naendelea kurutubisha ujana..kuna mtu naona kanikumbuka humu
imenibidi niitafute paswed tena.... kitambo SNA siingii tena humu kuchangia but napitaga tu mara moja moja kuona watu wanasema nini kuhusu boss wangu na team yetu kwa ujumla ili tujue makosa yetu na mazuri yetu na wapi pa kutengeneza..
Na reason ya kuwa kimya n sababu ya kazi. Niko busy na kazi masaa 24 na kwa position nliyonayo kila siku nakutana na opportunities mpya so kazi zinazidi kuwa nyingi..ukiachia mbali kazi ya kupiga picha but u publicity c kazi ndogo..kiukweli kabisa nawamisi nyie watu. Mlokua mkinibeza..mlokua mkinishambulia kunitukana na mlokua mkinikubali since day one akiwemo dinazade..
But now days Niko zaidi Nimalize kwa kusema kuwa..katika Maisha say no to kukata tamaa ..usijali nn mtu anaongea kuhsu wewe. Ukiamua kuamini kitu kiamini usibadilishwe na mtu..enzi hizo kipindi namtetea mond hats ckua na kaz nlikua mhitimu tu Wa chuo kzi hazisomeki...lakini Leo naishi maisha nikiwa wandishi na official photographer Wa mwnamziki mkubwa Africa. Nikiishi opportunities nyingi nilizokua naziota tu ..na zaidi nikijenga Maisha yangu kuwa Maisha ninayotaka hata waliokua wakiniponda usikute wengi ndiyowale nikikutana nao wanaomba tupige ka selfie.
Kama unanimiss Ukita we nifate kwa page yangu ya IG Kifesi ambayo last year ilikua na followers wasiozidi elfu 2 now 40,000.
By the way, karibuni sana Zari all white party may, japo tickets za millions zishakwisha za 50elfu na laki zitaanza kuuzwa tarehe 27.