Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,659
Ndugu Jamaa na Marafiki.

Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.

Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.

Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.

UPDATE
Hatimaye amefanikiwa kuongea mchana huu, inatia matumaini kwamba afya yake inahimarika kwa upesi.

UPDATE
Hali ya Mgonjwa inazidi kuimalika, anaweza kuongea vizuri kiasi,daktari ameruhusu ndugu na Jamaa kumuona baada ya kuridhishwa na hali yake, inatia moyo kwamba ameweza kula chakula pia,ataendelea kuwa hospitali mpaka kesho, inshallah Mwenyezi Mungu atasikia maombi yetu na kumponya haraka.

SALAMU
Anawasalimia sana, na amefarijika kufahamu kwamba tunamtakia kila la kheri aweze kupona mapema, na kutoka mdomoni kwake mwenyewe anasema "Thanks for being concerned, naendelea vizuri ni Kichwa ndio kinaniuma saaana na maumivu mwili wote nahis mwili hauna nguvu asante sana".

Maombi yetu ni Muhimu zaidi hasa sasa anapoendelea vizuri.

Bibilia inasema
Ombeni Mvua wakati wa Masika.

Jioni Njema.

UPDATE 08/01/2014
Mgonjwa anaendelea vyema, likely leo anaweza kuruhisiwa kutoka hospital.


UPDATE (Jioni hii)
Mgonjwa anaendelea vizuri lakini ataendelea kuwa hospitali mpaka kesho inshallah.

UPDATE
Heaven on Earth ameruhusu, kwa watakaoweza kwenda kumuona amelazwa Hubert Kairuki Hospital Mikocheni, Kesho kutoka ni 98% natanguliza shukrani kwa wote tunaoendelea kumuombea apone haraka.

UPDATE
kama ambavyo tumejuzwa na Vin Diesel, Heaven on Earth ametoka Hospital jana, kwa sasa yuko nyumbani mzima na mwenye afya tele.
 
Duh, thats too bad. Isije kuwa ni lile kundi la vijana ambao walikuwa kama sabini hivi huku kwetu waliokuwa wanafanya vurugu kulipa kisasi baada ya vibaka wenzao kuhukumiwa kifo na mahakama za uraiani na adhabu ikatekelezwa pale pale!
Mpe pole sana.
 
Jamaani.. 🙁🙁🙁🙁pole nyingi zimfikie, tunamwombea kwa Mungu aweke mkono wake wa uponyaji juu yake apone upesi amwondoshee maumivu aliyonayo 🙁
 
Pole HOV, mungu atakuponya mapema tuje tusume gurudumu.
 
Eeh Mungu usikilize kilio cha H.O.E, ukamponye na taabu zake. My dya Mungu atakupigania na utapona very soon. Love u bunches

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii habari naifananisha na mwenyekiti wa cdm temeke aliyetekwa na kupigwa kwakuwa mwanzilishi wa ile habari ndio aliyeanzisha na hii habari
 
Back
Top Bottom