Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Asante sana EWGM....hali bado haijaimarika kihivo ila its much better compared to .........

nashukurini kwa Prayers zenu


Tunakuombea upate nafuu kabisa na usiwe na hofu hii ni mitihani tu ya maisha inapita, cha muhimu sasa hivi concentrate on your health which is most important, mpendwa.

Shaka ondoa kabisa tuko pamoja.
 
Pole sana mdada,ilikuaje mpaka ukavamiwa na hao wahuni,imekuwa bahati nimepita ili jukwaa nikawa nashangaa mbona siasani sikuoni du kumbe umepatwa na tatizo..
"Jah luv is superior devil complex inferior.....
Pole sana mdada..
 
pole sana dada mdogo!!!!
Tunaomba Mungu azidi kuimarisha afya yako..
 
HOE pole sana dada naamin katika maisha lazima upate majaribu tunashukuru mungu uko salama na tuko pamoja. Hayo yaliyotokea ni majaribu usiyawazie angalia mbele songa mbele
 
daaah...muhimu uzima..thank god nafuu ni kubwa..... poleeee ndio mitihani hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…