uswahilini ndio wapi!!!!!!!
Hivi huwa unamaanisha nini "Mambo ya Kiswahi"
umenichekesha sana aisee....Niliimiss JF lol
Ila mimi naona Heaven on earth na Nyani Ngabu wanaendana!!itakuwa couple nzuri!maoni yangu samahani kama nimewakwazaSina mambo ya kiswahili swahili mimi.
sio sana kihivo...
ile kitu nadhani umeipata asante mwaya
nimeipata mpenzi japo nimechelewa kuiona coz nlikuwa natumia cm......stay blessed my dia
Ila mimi naona Heaven on earth na Nyani Ngabu wanaendana!!itakuwa couple nzuri!maoni yangu samahani kama nimewakwaza
Mhhhhhhhhhhhhh
Mhhhhhhhhhhhhh
We nipotezee tu. Ntawatuma tena washkaji ukiendelea hivi.
Hahahha nimeipenda hii
ya mie kuguna au ile suggestion pale
ya mie kuguna au ile suggestion pale
Ile suggestion nimeipenda
Halafu wewe!
Hebu muache wii wangu Heaven on Earth apumzike
Mmmhhhhhhhmhhhhhhhhh
OMG, I never saw this until today. Pole sana mamie, I wish you a prompt recovery. I hope ulienda polisi kuripoti na ulichukua hatua za kuimarisha your own security.
hahhaa ile sidhani kama yaweza kutokea