Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Pole sana H.O.E, na hongera kwa kupona, kweli Mungu ni mwema sana!
 
Sasa naamini akikuta kibaka anabanikwa huruma utapungua kidogo.vibaka wanakera sana.kama unampora mtu mpore basi wewe unamdhuru mwili.kwanini nasi tukikudaka tusikuchome moto.------- vibaka.
 
Inasikitisha sana, nasikitika sana kupata habari hii leo hii. Mr. Rocky nashukuru kwa mention yako, sikuwepo hewani toka tarehe 10 December kutokana na kubanwa mno na kazi za kusafiri nje ya Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…