Hebu acheni umbulula huo.....!!!

Tena huyu dogo cjui Oil sumu ndo nina waswas akil zake hazipo sawa kabisa yani anajisifia kupangwa MUCE?? Pumbavuu
 
we mbna teku

we mbulula kweli muce nacho chuo au ndo unataka kutembelea mgongo wa udsm eee??njoo uone kilivyo teku wanatoa koz kibao uliza muce wanazo ngapi??
 
eti mtu anajidai eti kachaguliwa uds,udom mara mzumbe na kuwaona wengine wanaokwenda kwenye vyuo vingine kama hawatapat elim bora kama yake,afu mbulula mwenyewe eti udsm BAED hajui kama akimaliz hata pangiw mjin anarushw umbwinde huko maji ya kisima!

tena lichuo ulilochaguliwa wewe cantonna kama mm bora niache kwenda kabisa
 
we mbulula kweli muce nacho chuo au ndo unataka kutembelea mgongo wa udsm eee??njoo uone kilivyo teku wanatoa koz kibao uliza muce wanazo ngapi??

teku hata bure sisomi bora nkasome kiu kuliko teku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…