kipato changu kwa shughul mbalimbali sh.800,000 kwa mwezi, mapato kutoka PERFECT APPLICATION au PERFECT INTERNET sh.5,000,000/ kwa mwezi, na inategemea bidii katika kufuata maelekezo, inaweza kuwa zaidi ya hapo.
naomba msinielewe vibaya, nilikuwa nikiwaomba sana watu wajiunge na PERFECT APPLICATION wakawa wanaona kama ni utapeli wa kwenye mitandao. ubishi muda mwingine haufai, sasa endelea kubisha wenzio twala.
Tatizo lako wewe umekuja kwa kishindo kuonyesha jeuri, huonyeshi huna mvuto wa mjasiriamali, na hio pafect yako ni njaa tu huna lolote.
So inatuhusuje sisi wengine?
poa, ni njaa yangu, wenye njaa kama mimi watanielewa ww uliyeshiba achana nayo.
kipato changu kwa shughul mbalimbali sh.800,000 kwa mwezi, mapato kutoka PERFECT APPLICATION au PERFECT INTERNET sh.5,000,000/ kwa mwezi, na inategemea bidii katika kufuata maelekezo, inaweza kuwa zaidi ya hapo.
naomba msinielewe vibaya, nilikuwa nikiwaomba sana watu wajiunge na PERFECT APPLICATION wakawa wanaona kama ni utapeli wa kwenye mitandao. ubishi muda mwingine haufai, sasa endelea kubisha wenzio twala.
poa, ni njaa yangu, wenye njaa kama mimi watanielewa ww uliyeshiba achana nayo.
Hata iweje sijiungi, kusanya hizi habari pelekea ndugu zako kijijini ukoo mzima muwe watajiri
Hatutaki kujiunga na huo upuuzi. Mbona unatulazimisha?
Hiyo 5m umelipwa?
Hata iweje sijiungi, kusanya hizi habari pelekea ndugu zako kijijini ukoo mzima muwe watajiri
Nduguzo wote wana hii taarifa? Ungeanza nao kwanza mkuu, charity begins at home