Naona na wewe hapo unaitumia fursa mubashara...
Nakushauri mkubalie tu... jamaa ni mtaalam wa kucheza salama...Hahaha,labda alikua ananiambia hivi View attachment 467069
Nakushauri mkubalie tu... jamaa ni mtaalam wa kucheza salama...
Tumepozi tuView attachment 467080
Huwezi jua mipango ya Mungu...
Ngoja nikuoneshe kwa lugha picha... nadhani utaelewa zaidi...nyundo ya ulinzi shirkishi nin?
ha ha ha ha mkimaliza hzo muhamie na kuleHuwezi jua mipango ya Mungu...
Mbona haichekeshi sasa
hzo swaga za kichuga chuga dogo hukutan nazo kiwepes wepes
Naomba utuloge...