Hebu cheki dada wa kikenya alivyosifiwa na wazungu

Kumbe ki-Lupita kimekula chumvi kiasi hiki[emoji15]
 
Kumbe ki-Lupita kimekula chumvi kiasi hiki[emoji15]
 
Wazungu wanazuga tu kinafiki, mbona hajapendeza kabisa?
Hivi watu wanawachukuliaga wazungu kuwa wa maaaanaaa?

Huyu anaesifiwa nimemfananisha na yule ebotike ama sijui etonike? Yule dada mchekeshaji.
 
Uchi my foot. Kabla mzungu aje nguo zilikua wapi! Na kabla mwarabu Na mzungu ashuke Na dini zao za utumwa si tulikua tumetulia Na mungu wetu Na kuomba kiafrika safi Bila hawa wavamizi!!!!?

Mwambie aje mchana mitaa yetu ya Kariakoo au hata wewe unaweza kujaribu.

Uchi can't be your foot it's your behind.
 
You call this naked?

Nope, hatujawaiga wazungu, walitupata uchi when they first came to Africa, kwaivyo pengine hawa ndio wanatuiga.

Naona huko ndio kustaarabika.

Ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
 
Wakenya ukitaka ukosane nao sema wapinge jambo lolote wanalokwambia mzungu kawasifia au wambie kiingereza sio ishu sana ni kama utumwa
 
Mwambie aje mchana mitaa yetu ya Kariakoo au hata wewe unaweza kujaribu.

Uchi can't be your foot it's your behind.

utumwa mtupu. eti uislamu ma ukristo mila za kiarabu na mzungu aliyechanganyikiwa kiakili. leo hii mwafrika atakutoa uwahai kwa ajili ya mila za watu wakizingizia dini. uislamu na ukristo my foot!!!!!
 
Wakenya ukitaka ukosane nao sema wapinge jambo lolote wanalokwambia mzungu kawasifia au wambie kiingereza sio ishu sana ni kama utumwa

nyie watanganyika mnastaajabisha kweli. ni sekta gani huko kwenu sio mzungu anaitawala!! kama sio mzungu ni mwarabu na mwisho hawa wawili kama haweko ni kaburu kutoka south afrika mnaowabudu!!! bwana chumba chako cha vioo mawe yanini kwa jirani!!!
 
Hivi watu wanawachukuliaga wazungu kuwa wa maaaanaaa?

Huyu anaesifiwa nimemfananisha na yule ebotike ama sijui etonike? Yule dada mchekeshaji.

Ha ha ha, umeua!

Always nashangaa watu wanavyo msifu huyu dada kwamba ni mzuri, Lupita sijawahi kumwona kwamba ni mzuri kabisa, hata kwenye wazuri wazuri simweki kabisa.
 
utumwa mtupu. eti uislamu ma ukristo mila za kiarabu na mzungu aliyechanganyikiwa kiakili. leo hii mwafrika atakutoa uwahai kwa ajili ya mila za watu wakizingizia dini. uislamu na ukristo my foot!!!!!

Maandiko yako yanaonyesha wazi jinsi ulivyo patupu.

Hata maana ya Uarabu, Uzungu, Uafrika huelewi wala asili zao huelewi.

Sisi tunaamini mbora ni mcha Mungu tu. Makabila na lugha ni za kufahamiana tu.

Elimika kijana.
 
Kuna rumours Hollywood huyu dada ni HIV positive
 
Lupita Nyong'o naona sasa kanenepa kaanza kupoteza mvuto! (Kwa mtazamo wangu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…