Hebu cheki dada wa kikenya alivyosifiwa na wazungu

wazungu ukiona hivyo wanataka mambo yao ya tigo hasa wazungu wazee sasa hapo kapendeza nini washaona demu ananyama sikuizi wanataka waanze kumfira
 
Kuku wa kienyeji kupita kiasi hadi hapendezi
Kwa rangi au shepu. nakama hachezewi chezewi sana kwa rangi hii hawa huwa wanakua wamoto, kama ushawahi sikia. Nakama shepu.....hebu tupia kapicha kamtu unae muona anamzidi. Though niliweka hiyo picha kukataa kwamba ana kigimbi.
 
Asiyejuwa maana haambiwi maana.

Mmh. Naukubali usemi wa wahenga. Kwa hiyo inawezekana kabisa hao "wanaotembea uchi" hawajui maana ya kuwa uchi, sivyo? Na tusiwaambie maana ya kuwa uchi kwa kuwa asiyejua maana haambiwi maana? Unafikiri ikiwa hivyo ndivyo itakuwa halali kuwalaumu kwa "kutembea uchi"?
 
Mkuu faiza nimegundua wewe sio intellectual

Yaan unachambua vitu kwa interest zako,hisia zako,
Mbna asili ya mwafirka sio kujivika mwili mzima

Acha mihemuko mkuu hata km unaimani yako

Kila mnavyojitembeza uchi ndivyo watazidi kuwasifia.

Biashara ni matangazo.

Msojijuwa.
 
Asiyejuwa maana haambiwi maana.

Mbona unakimbia kutoa elim. Maana ya kuwa uchi inatokana na utamaduni wa jamii. Jamii zinazoendekeza ngono ha hata wakiona goti la mwanamke wanaona yupo uchi. Na jamii zinazona ngono ni swala la kawaida , paja la mwanamke ni kama kisigino tu.
 
Kuna rumours Hollywood huyu dada ni HIV positive
Dont believe everything in those right- wing, white supremacist publications.

And Hiv/Aids is no longer a death sentence these days. With the amount of chumz she has, she should be able to live her life healthily and to the fullest, than u and me would ever dream.
 
Naona huko ndio kustaarabika.

Ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
Huu ndio uafrika kamili. Achana na hizo itikadi za imani zako tulizolimbikiziwa na hawa waliowadhalilisha mababu zetu kwa utumwa na mateso mengi.

Kwani kuonyeshana mapaja kuna ubaya gani? Ni kipi kibaya kuhusu hii miili yetu?
Huyo mungu alikuwa nani na mbona akerwe na haya yeye mwenyewe ndiye aliumba?
Haya yalikuwa maoni ya Mungu ama binadamu?

Na mbona hakuja na Africa kutuambia kuonyeshana uchi ni uovu?

As long as mtu ameyaficha nyeti zake, sioni tatizo.
 
Maandiko yako yanaonyesha wazi jinsi ulivyo patupu.

Hata maana ya Uarabu, Uzungu, Uafrika huelewi wala asili zao huelewi.

Sisi tunaamini mbora ni mcha Mungu tu. Makabila na lugha ni za kufahamiana tu.

Elimika kijana.
kuamini kwako my foot!! mila za wenyewe unazikumbatia eti ni dini tayari mabomu kiononi kuua mwenzako, na hizo mila hazikuhusu sikio wala ndwele!! ukristo, uislamu ni utumwa mtupu africa!!!
 
Labda babuyo alichukuliwa utumwa na mtumwa haachi asili yake ndiyo maana unaona ni sawa tu mwanamke kuanikwa uchi na wazungu. Sikushangai.
 
kuamini kwako my foot!! mila za wenyewe unazikumbatia eti ni dini tayari mabomu kiononi kuua mwenzako, na hizo mila hazikuhusu sikio wala ndwele!! ukristo, uislamu ni utumwa mtupu africa!!!

Ungekuwa si muabudu wazungu usingejiita "Waltham".
 
This was my point
Huyu dada hajielewi kuwa naye ni mtumwa, tofauti ni kuwa amewapenda mabwana zake zaidi na kuwaona watumwa wa wazungu ni wajinga.
Bora uwe mtumwa wa mzungu utapata akili kuliko kuwa mtumwa wa mwarabu atakufanya ujiue kwa kujitoa muhanga
 
Mbona huu uzi umekuwa wakumjadili Faizafox? Hayo yalikuwa maoni yake na dini yake! Hivi kila mtu hapa anaponda tu wazo lake!?
Rudini kwenye mada tujadili iwapo huyu kibinti wa Kikenya anawatia joto Wabongo au la!

Hasa kwa hilo paja lake tupu na mboni za kulegeza
 
Hata mimi sijapenda hii tabia ya kutembea uchi!! Yaani mwanamke lazima awe uchi ndio iwe yeye ni sexy!! Argh! Inaudhi hii!!
Kuiga wazunbgu ni jambo la ovyo sana!
Hata kuvaa nako ni kuiga wazungu vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…