Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Jamani maisha yanaendelea kuwa magumu kila kukicha especially katika bara la Africa. Yaani the further we go (in terms of years) the worser the situation becomes (in terms of economy).
Vijana waliohitimu vyuo wamefurika mitaani Ila ajira hakuna kabisa.Hii imewasaba ishia vijana wengi misongo ya mawazo mpaka wengi wameanza kujiingiza kwenye mambo ya kihuni Kama uteja na mengineyo baada ya kukosa mwelekeo wa maisha.
Leo Ni 2023 tu na tayari tumeshaanza kuuhisi ugumu wa maisha uliotukuka. Je, hali itakuwaje Sasa katika miaka 50 ijayo 🤔?
Mwaka 2073 wengi wetu humu tutakuwa tumeshazeeka tunatembelea mikongojo. Mimi mwenyewe nitakuwa nimegonga miaka 77 kipindi hicho.
Hebu jaribu kupata picha ya maisha ya mtu yatakavyokuwa miaka 50 ijayo ambaye hakuwahi wekeza pesa zake katika shughuli mbali mbali aidha kwenye kilimo ama biashara ama hakuwahi somesha watoto wake ili baadae waje kumsaidia kipindi cha uzee wake. Tuseme alikuwa anakula Bata Sana Kwenye ujana wake na kuja kujistukia uzeeni umri ukiwa umempa kisogo kabisa.
Kusema Kweli huyo mtu atakuwa na maisha magumu sana kudadeki! Maana kipindi hicho tutashuhudia mfuko wa bei za bidhaa. Utakuta kiberiti kinauzwa Tsh1000😂
Kipindi hicho watu wengi watakumbwa na msongo mkali Sana wa mawazo kutokana na ugumu wa maisha.Watu watakuwa wanazungumza wenyewe tu (monologue) pindi watembeapo barabarani.
Wizi utakidhiri Sana kipindi hicho kutokana na ugumu wa maisha. Tena vibaka watakuwa wanawapora watu Mali zao hadharani tu bila uoga😂
Jamani tupambane Sana ili tuweze kuwa na maisha mazuri siku zijazo.
Wito wangu kwa vijana wenzangu Ni kwamba vijana tuacheni kuendekeza Raha Bali tutumie nguvu zetu kujiendeleza kiuchumi ili tusije tukateseka siku za uzee wetu.
Tumuombe Sana Mungu akufungulie baraka ili tuweze kufanikiwa maishani 🙏
Kumbuka Raha za ujanani ndio tabu za uzeeni & vice versa is also true.