Hebu kumbuka penzi lako la awali kabisa mara baada tu ya kubalehe ilivyokuwa

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
WanaJF wenzangu hebu kumbuka zamani zile ndo ilivyokuwa siku ya kwanza kabisa kujisajiri kwenye ulimwengu wa malavidavi ilikuwaje mara baada tu ya kubarehe.Je uliyempa malavidavi hayo kwa mara ya kwanza kabisa ndo mwandani wako hadi sasa au bado yu hai!!!!!?????
Mimi kwa mara ya kwanza kabisa sikuwa najua kabisa shaha...a ndo nini nilidhani yule aliyenifungulia dimba kaniambukiza ugonjwa wa zinaa kumbe ndo ilikuwa asali yenyewe
 
<br />
<br />
halafu ujue sio wote wanaanzia mademu,wengine huanzia na puli,nyambafu!
 
Ukimkumbuka wa kwanza mwili lazima ukusisimke,manake yeye ndio alie kufunza Maji usiiite mma.
 
ni kwa mke wangu na bibi yang alikuwa anashuhudia kaniwekea shuka jeupe kudhibitisha je nachinja mwenyewe huwa nakumbuka bib alivyoshanglia akitoka na shuka lenye .. ilopa
 


dah, kweli wewe ni KIBURUDISHO!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…