Hebu leo tujadili ni kampuni zipi zinafanya vizuri kibiashara hapa Tanzania?


Idea nzuri sana, ushindani hapa bongo ukoje? Who is doing it? Nairobi kuna kampuni inaitwa sendy, very successfully . Hongera sana chif.
 
Unalengo la kuwaongezea kodi?
 
Tupe uchambuzi yakinifu boss kama una maarifa yakutosha ktk sekta hiyo ili watu wakulupuke,maana unaweza mtu akaogopa kumbe mambo ni simple ila tatizo ni maarifa.
 
Acheni kutishana bana na kuibiwa idea. Tambueni kuwa kuna idea na uwezo wa kurun biashara ikawa profitable na huu uwezo ndo kinacho angaliwa na wawekezaji wengi. Na bila shaka tunatambua kuwa idea nyingi zina exist kwenye nchi au mahali kwingine. So nawatia moyo msiogope kushare, watu wanaweza kucpy idea yako ila sio plan yko, na ukiona aliyecopy kapita kwenye plan yako na kakuzid jua alijua kuipambanua idea na kujenga biashara juu yake zaid yako
 
Mkuu wacha wafanye am not that selfish..nina mambo mengi sana am working on .. kwa moyo mmoja tu let them do
 
TAFUTA MTU MMOJA ANAITWA STRIVE MASIYIWA , thank me later

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa nchini Tanzania biashara ambazo zipo imara ni Biashara ya Madini, utalii, Nguzo za Umeme, biashara ya mifugo(ng'ombe,mbuzi na kondoo) na biashara ya spare za pikipiki na bajaj.
Au upate connection ya kusambaza kitu kwa wakandarasi wa miradi mikubwa kama SGR na Bwawa la umeme. Ukisambaza Chakula, kokoto, n.k utakuwa bilionea
Nje ya biashara hizo unajitafutia mawazo.
 
Huwa kuna coincidence in ideas.Siku moja nipi nasafiri kutoka Njombe kwenda Dar tulipifika maenro ya mtwango wakaingia abiria wakajatiwa tijeti ndsni ya gari.Nikapata wazo hivi haiwezi kuanzishwa app ambayo watu wa vijijini wakakata tiketi mtandaoni kwa m-pesa? Jibu likaja inawezekana.Sasa nilipofika Dr baada ya miezi kama sita nikasikia redioni jamaa wapo ktk hatua za kutest system hio.Nijagundua unachokiwaza juna wenzio wanawaza hivyohivyo.Mgongano wa mawazo.Nakushauri idea yako ifanyie kazi haraja kabla hujasikia watu wakitest system kama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…