hebu leo tujikumbusheee staili hizi za kusoma shuleni.....kipindi mtihani wa necta unakaribiaa

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
1.kusoma huku umeweka miguu kwenye ndoo ya maji

2.kulala na godoro darasani..........

3.kuimba nyimbo........za kukkremishaaaaaaaa

4.kulala na madaftari darasani.....

5.kuzuzurura usiku na mchana ukiuuulizia feki

6.kwa wale tuliosoma science kulalili majibu yote kwenye abort na lambart na kukalili majibu ya solving ya mwalimu mbuga wa biology na physics mwalimu mbuga hawa wote wanafundisha tution mchikichini

7.kwa wale wa hesabu kukalili maswali ya solving yale ya aiden mwalimu wa mchikichini

sasa baada ya hapa unaweza kuendeleaaaa
 
hii ndo elimu ya tz bwana....
 
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Pompi, alikariri Four figure table
 
daa jamani tuliomaliza jagwani...2006 form 4 mnakumbuka asma mageni aliizimiaga baada....baada kupata feki ndilo siro.....kipindi cha pepa la hesabu
 
Kusoma kwa mjadala (discussion), mmoja natoa mada au swali na wengine wanatoa majibu bila ya kusoma popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…