1. Inter Milan vs AC Milan (2002/3) mechi zote mbili za semi final
2. Deportivo La Coruna vs AC Milan (2003/4) hii mechi ya pili Milan anapigwa 4-0 wakati mechi ya kwanza alishinda 4-1
3. Hapa ni 2013 Bayern Munich vs Barcelona (7-0 agg)
Dah nimewakumbuka kina Walter Pandiani, Dado Prso, John Carew, Morientes, Ben McCarthy, Jan Koller, Milan Ba
Mkuu umenikumbusha huyo Walter pandiani, mechi ya marudiano na Milan alimpiga kanzu MTU mzima maldini halafu akafunga..huyo deportivo ilikuwa weka mbali na children!1. Inter Milan vs AC Milan (2002/3) mechi zote mbili za semi final
2. Deportivo La Coruna vs AC Milan (2003/4) hii mechi ya pili Milan anapigwa 4-0 wakati mechi ya kwanza alishinda 4-1
3. Hapa ni 2013 Bayern Munich vs Barcelona (7-0 agg)
Dah nimewakumbuka kina Walter Pandiani, Dado Prso, John Carew, Morientes, Ben McCarthy, Jan Koller, Milan Baros etc
Hatari sana mkuuMkuu umenikumbusha huyo Walter pandiani, mechi ya marudiano na Milan alimpiga kanzu MTU mzima maldini halafu akafunga..huyo deportivo ilikuwa weka mbali na children!
Ni fainali kwaniIle comeback ya Barca dhidi ya psg. Agg 6_5
J.Cole huyu anyanduliwe mke nayy kitambi mbnaHii ya john Terry ilivuma Sana hasa alipo mnyandua mke wa mchezaji wenzake I hope ni mke WA J.Cole
UCL 2005 ya Liverpool na AC Milan is the best Kwangu
Alijaribu bahati yake kwa ceoLakini bongo hadi leo hatujui mkude kafanya kosa gani
Dado prso Dah huyu jamaa simsahau alikuwaga Ac Monaco1. Inter Milan vs AC Milan (2002/3) mechi zote mbili za semi final
2. Deportivo La Coruna vs AC Milan (2003/4) hii mechi ya pili Milan anapigwa 4-0 wakati mechi ya kwanza alishinda 4-1
3. Hapa ni 2013 Bayern Munich vs Barcelona (7-0 agg)
Dah nimewakumbuka kina Walter Pandiani, Dado Prso, John Carew, Morientes, Ben McCarthy, Jan Koller, Milan Baros etc
Aisee bhana mm kwa upande wangu fainali bomba nlizowah kushuhudia na nikazikubali ni mbili,moja ni ila ya Bayern munich vs chelsea chini ya kocha msaidizi roberto de Mateo,chelsea tunachukua ubingwa kwa penalty naikumbuka sana ile penalty ya David Luiz bonge ya penaltyKwa upande wangu
1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta
2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya moto, niwaambie tu wadogo zangu, Arsenal mnayoiona sio hii.
3.2008, Man u Vs Chelsea, dk 90 1-1, Matuta man u bingwa, Penalty 5 zilisha kwa timu zote, Terry anateleza anakosa penalty, ndo basi tena.
Vipi kwa upande wako?
Na hisi ilikuwa mwaka 1999.1998 UEFA Champion final btn Man untd na Bayern Munich, Ole Gunner super sub anawarejesha Man Untd kwenye reli dk za lala salama, binge la game timu zote zimetimia hakuna mdhaifu hapo.
Inawezekana mkuu Sina kumbukumbu vizuri, Ila ilikuwa good matchNa hisi ilikuwa mwaka 1999.
hku anatafuna big g mdomo wote unatetemekaSiyo 2010 bali ni 2011 uwanja wa Wembley.
Bado nakumbuka vizuri jinsi vidole vya Ferg vilivyokuwa vikitetemeka.
Kwa upande wangu
1.2005, Ac milan vs Liverpoo, dk 90 3-3 then Liverpool akawa bingwa kwa matuta
2.2006, Barcelona Vs Arsenal, dk 90 2-1, Arsenal anakufa kikatili sana, enzi hizo arsenal ni ya moto, niwaambie tu wadogo zangu, Arsenal mnayoiona sio hii.
3.2008, Man u Vs Chelsea, dk 90 1-1, Matuta man u bingwa, Penalty 5 zilisha kwa timu zote, Terry anateleza anakosa penalty, ndo basi tena.
Vipi kwa upande wako?
Ajax vs spurs ilikuwa ya moto sana....Man U vs Chelsea (2008 final)
Ajax vs Tottenham(2019 Amsterdam)
Barcelona vs Intermilan(2010 )
Alicheza penalties ya babu kiparaPia mechi ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2012, Bayern Munich Vs Chelsea.
Bayern wakicheza katika uwanja wai wa nyumbani, waliongoza mechi muda mwingi wa mchezo mpaka pale dakika za lala salama, Didier Drogba aliposawazisha kwa goli maridhawa la kichwa na kufanya ubao usomeke 1-1.
Mechi ikaenda extra time kisha kwenye mikwaju ya penati, ambapo Didier Drogba (The Ivorian Giroud) akapiga penati ya ushindi na kuwapa taji Chelsea.
Pamoja na sifa kubwa alizopewa Didier kwenye fainali, bado wachambuzi wengi wa soka kwa makususdi walifumbia macho kazi kubwa iliyofanywa na Petr Cech, pengine fainali ile ingeisha kwa Bayern kushinda dk 90 tena kwa goli kama 3 kama si mchango mkubwa uliofanywa na Cech.
Alicheza penalties ya babu kipara
Na akaokoa kichwa cha kudundisha cha Thomas Muller ..
Na mengine kibao ...
Makipa hawanaga nyota mkuu
fainali kali ile ya fagason na guadiola 2010 mzee alitaka afe uwanjani coz alikuwa anavabrite mwili mzima π