Hebu linganisha haya mambo halafu toa maoni yako

Shida ni kua, Wanasheria wa Tanzania asilimia kubwa ni vilazaa ,FATILIA matokeo yao ya shule ya SHERIA....ni watu wanaosoma kufaulu mitaan, yaan kukuta Wanasheria wenye bichwa km vya Lissu, Mwabukusi , madeleka,,, ni wachacheee na bahati mbaya wako nje ya mfumo.

Walioko Kwa mfumo ni wapuuzi wengi walosoma Kwa kukalili, wakaunganishwa kwenye vitengo .

Ukichanganya na Kuchumia Tumbo ,Unafiki , kukoswa uzalendo ,ndo kabisaaaaaaaaa.

Hii Nchi hata mtu aseme, Sasa tunakabidhi Nchi Kwa Mkoloni, Mahakama itanga mkono.

Kuna Kizazi Cha wazee makini kimepita, Sasa tuko kwenye kizazi Cha wazee wapumbavu, walolithisha Upumbavu Kwa watoto wao.

Shida juu ya shida
 
Aiseeeee
 
Yale matokeo ya Shule ya Sheria yanaakisi ukweli wa wanasheria tulionao.
 
Hivi ndivyo wanavyotofautiana Wakenya na Watanzania

Angalia hawa

View attachment 2828044

Halafu angalia na hawa

View attachment 2828045
Wala hakuna tatizo kwani Tanzania inaendeshwa Kwa kuigilizia Kenya?

Mbona Nchi kibao zinaendesha biashara ya Bandari Kwa ubia? Maana msipotoshe Kwa sababu Tanzania inafanya ubia Kwa kuundwa kampuni ya uendeshaji yenye member wa DP World na Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…