Hebu makaka zangu ambao mshafika mbali nisaidieni....

Ngwinji

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
16
Reaction score
1
Nimepata 4 ya 26 inamaanisha uwezo wa kuenda Form 5 upo ila tu itabidi nitafute credit moja.... Hebu nishauri nitafute credit au niende chuo??
 
Nakushauri soma certificate mwaka mmoja uende diploma miaka miwili then degree miaka mitatu na kama una uwezo kifedha soma certificate mwaka mmoja tanzania halafu foundation mwaka mmoja uk then unaingi degree huko huko uk
 
angalia uwezo wako kiuchumi.km uko fresh tafuta credita ama soma certificate zitakazo kupotezea muda.km ni science angalia certificate zinazohusiana na wizara ya afya.kiufupi km ww ni mtt wa mkulima unaweza kupunguza utegemezi kwenu kupitia wizara ya elimu na afya ndo kuna plenty jobs.bt km unaweza kauze sura CBE.
 
Nakushauri ungeachana na hizi mitandao...ni moja ya sababu ww kufei! Soma 5 huku ukitafuta credo!
 
Kama sayansi iko fresh nenda chuo cha afya kapige clinical medicine diploma utapata kazi nzuri na utachukua degree ya medicine kabla hata ya hao walioenda form5,6,
 
Nenda chuo zen ukiwa chuo fanya mchakato wa kurudia, afu cku hz hakuna mature entre chuo kkuu(vyet vya dp), knachoangaliwa ni matokeo ya 4m6. Nenda kwanza ukatafute uhakka wa kaz coz hata ukrudia unaweza kosa tena, nvema uwe na kaz zen utarudia..
 
Mkuu ningekushauri ila tatizo w umeshasema kwa waliofika mbali na mm bado sijafika mbali and am just nearly within you.
 
Nakushauri ungeachana na hizi mitandao...ni moja ya sababu ww kufei! Soma 5 huku ukitafuta credo!

utaratibu huu siku hizi haupo baraza uliukataa manake ulileta ugomvi kati ya wanafunzi na wamiliki wa shule hasa pale anapokosa credit na ikitokehivyo basi lazima asome 5&6 kwa miaka 3 badala ya 2.

ushauri wangu kwake jamani tusiishi kwa kukariri sio kila mtu lazima asome form 5 na six wapo wengine wanapita vyuoni kisha wna upgrade kuingia chuo kikuu. soma certifiate ya kitu unachokipenda kisha usome diploma miaka 2 ukitoka hapo omba chuo kwa equivalent qualifications utaona jinsi maisha yatakavyokuwa simple na utakuwa tayari umeshakuwa na utaalam kuliko ku reset kisha form 5 na six ambapo bado unatoka ukiwa ni mwanafunzi usiye na utaalamu
 
Ili uweze kurudia na upate credt, fanya kujiandksha kituo chako cha kufanyia mtihani kisha omba shule yoyote aidha private/govt ulipie baadhi ya ghara zao watakzohtaj ksha usome kama mwanafunzi cku ya mwsho nenda kapige pepa. Hii kisaikolojia ni nzur
 
Shardcole kama huna la kusema kaaga kimya, ahsanteni sana great thinkers... I think I've made my decision
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…