Hebu msaada kidogo wakuu !

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
2,258
Reaction score
275
Kuna tatizo gani linalosabisha mwanamke kutoa damu kila anapofanya mapenzi? Yeye anasema anashanga hata baada ya hedhi damu inaendelea kila kazi inapopigwa! Mbona hiyo discharge siyo kawaida?. Ni damu inayo chafua kitanda 'mno' kila baada ya mapenzi. plz msaada!
 

Hilo ni tatizo na anapaswa kuwaona wataalam wa afya hasa wa magonjwa ya ndani.
Poleni
 

Hilo ni tatizo na anapaswa kuwaona wataalam wa afya hasa wa magonjwa ya ndani.
Poleni
 
muulize kama anatumia sindano za uzazi wa mpango kama ameshazaa ila kama bado aende hospitali
kwa mwanamke aliyezaa na anatumia sindano kuzuia mimba ni kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…