Hebu msikilizeni mpiga debe wa mabasi ya Moshi Arusha:

Hebu msikilizeni mpiga debe wa mabasi ya Moshi Arusha:

vukani

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
244
Reaction score
166
Hebu msikilizeni mpiga debe wa mabasi ya Moshi Arusha:

Haya wale wa kwenda Arusha, wale wa kwenda Arusha, kupitia Njia panda ya Machame, Kikavu, Boma ya Ng’ombe, Kwa Sadala, King’ori, Kikatiti, Maji ya Chai, Momela, Usa River, Leganga, Makumira, Kambia ya Chupa, Kwa Shabani, Kwa Ngulelo, Phillips, Sanawari Mianzini Mpaka stendi ya mkoa, wahi inaondoka hiyoooo inayeyaaa, haina mukingaa………………

Haya wengine mtupe za kwenu...........
 
Back
Top Bottom