Hebu msikilizeni mpiga debe wa mabasi ya Moshi Arusha:
Haya wale wa kwenda Arusha, wale wa kwenda Arusha, kupitia Njia panda ya Machame, Kikavu, Boma ya Ngombe, Kwa Sadala, Kingori, Kikatiti, Maji ya Chai, Momela, Usa River, Leganga, Makumira, Kambia ya Chupa, Kwa Shabani, Kwa Ngulelo, Phillips, Sanawari Mianzini Mpaka stendi ya mkoa, wahi inaondoka hiyoooo inayeyaaa, haina mukingaa
Haya wengine mtupe za kwenu...........