I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Jun 15, 2015 #1 Mchezaji wa zamani wa Young african(kushoto waliokaa) aliyehamishia makazi yake nchini Oman kwa zaidi ya miaka 25 sasa.
Mchezaji wa zamani wa Young african(kushoto waliokaa) aliyehamishia makazi yake nchini Oman kwa zaidi ya miaka 25 sasa.
B Blueband JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 668 Reaction score 244 Jun 15, 2015 #2 wa kwanza kutoka kushoto kwangu
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jun 15, 2015 #3 ibanezafrica said: Mchezaji wa zamani wa Young african(kushoto waliokaa) aliyehamishia makazi yake nchini Oman kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Click to expand... tutafutie basi na ya mchezaji wa zamani wa simba hussein amani marsha akiwa mapumzikoni nyumbani kwake nchini uingereza.
ibanezafrica said: Mchezaji wa zamani wa Young african(kushoto waliokaa) aliyehamishia makazi yake nchini Oman kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Click to expand... tutafutie basi na ya mchezaji wa zamani wa simba hussein amani marsha akiwa mapumzikoni nyumbani kwake nchini uingereza.
E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,697 Jun 16, 2015 #4 Arabuni kimenuka atarudi mwenyewe
N NEPTUNE JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 542 Reaction score 247 Jun 16, 2015 #5 Ahmed Amasha ni huyo aliyekaa upande wa kulia katika picha.