hebu muangalieni huyu afande

Kumbe wanakula na kushiba,kweli aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa
na yuko tayari hata kumtoa Roho aliye na njaa.
 
Ninavyojua mimi, hii kazi wanatakiwa wawe fit, sasa huyu uncle maharage kwa wingi bila mazoezi
 
Uyo afande lazima awe ana asili ya kisomali!
 
mi sioni kitambi hapa au ni kitambi kipi unakizungumzia? Cha mbele au cha nyuma?

haha, naona mbele na nyuma kote vipo. but cha mbele hakionekani kwa sababu kakichakachua na magwanda alofunga 15%
 
Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU!
 
Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU!

Duuuuu hivi afya ni nn? Kama hiyo can be termed as being healthy we Tanzanians still have a long way to go!
 
Imebaki kama kipisi cha sigara. Nitamtuma sista akakague. uchakachuaji
 
Duuuuu hivi afya ni nn? Kama hiyo can be termed as being healthy we Tanzanians still have a long way to go!

tangu mda nilipomfahamu yuko vile vile rushwa yake ni kidogo sana kuwapokea watu wanaokuja kusign affidavit(viapo) na kuvipeleka kwa mahakimu huku akijifanya ni nduguze na kusweka mfukoni sh 5000 anazopokea. kwa ufupi yupo pale mahakama ya mkoa wa dar KISUTU.wengi wanadhani ni mahakama kuu kumbe sivo kimamlaka ipo sawa na mahakama za mikoa mingine.nimeongezea tu out of topic kuwekana sawa.
 
Lol!!! Duuuh kuna watu wana vituko humu... Jamani nimecheka mpaka watu wananishangaa...
 
Mi naona kama kuna kitu anachukua kupitia mkono wake wa kushoto toka kwa huyo mtu mwenye sharti jekunduuu!!!!!! AU MACHO YANGU YANAONA VIBAYA??????? SIO ANACHUKUA MLUNGULA HUYOO KWELII???!!!! OK! Lakini ni maoni yangu jamani.
 
sasa huyu jambazi au kibaka atamkimbiza kweli.....au ndio akisikia Paaaaaa...tujue....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…