hebu muangalieni huyu afande

afya yake hiyo kajaaliwa na mwenyeeezi Mungu acheni wivu wanaizaya nyie!!
 
Nyie vipi? Ni mzazi wake mtu huyo. Au mnadhani alitumia ya kichina?
 
Siyo polisi huyo. kaazima magwanda ili apige mkwara mitaani.
 
...hapo hajapewa U-trafiki yupo hivo. akiupata sijui itakuwaje. Mungu aepushie mbali
 
Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU!

Hana cha rushwa huyo ila mamas nyumbani ana mradi wa kiosk ua mama lishe.Ana bahati kameponea humohumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…