Aisee....kumbe...HII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017
Simba wanachukua Kombe la FA kama Ambavyo Yanga Wamechukua Kombe La Ligi,
Simba Itawakilisha Tanzania Michuano ya Africa Kama Ambavyo Yanga Itawakilisha
Simba Imeifunga Yanga Kwenye Ligi kuu, Pia Simba Imeifunga Yanga Kwenye Kombe La mapinduzi Kule Zanzibar, Wakati Yanga Haikuweza Kuifunga Simba Mwaka Huu,,
Simba Inakwenda Kupata Milion 90, Milion 40 ligi kuu, Na Milion 50 Kombe La FA wakati Yanga Wanakwenda Kupata Milion 80 tu ya Ligi kuu,,
HAKIKA HII NDIYO SIMBA NGUVU MOJA
Hatari sanaNdo hvo mkuu
Basi hawa NDALA FC bure kabisa kushangilia ubingwa na KEJELI.. Kumbe hamna kitu... Bora MNYAMA anapata kikubwa..Ndo hvo mkuu
Nimeikubali, ubingwa vpl ni hadi mechi za mwisho, vile vile Na FA cup ni mpaka filimbi ya mwisho mechi ya fainali. Hivyo tusishangae kuona Mbao FC akilinyakuwa Na kukwea pipa mwakani. Hebu tuache muda uongee, tusilete mihemko humu..Tuwe na tabia ya kuheshimu mpira, kuheshimu mpira ni pamoja na kuheshimu mpinzani wako,matokeo ni hadi filimbi ya mwisho
Ila so far Simba imekuwa na msimu mzuri na ni timu bora zaidi uwanjani msimu huu.
Anataka muelewe kuwa Simba haina lake mwaka huufainali imechezwa lini kwan!?
Nasubiri FIFA waturudishe point zetu Tatu za mezaniHII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017