PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ni sawa maana fomula ya kimumngu ni simpo tu "' auaye kwa upanga atakufa kwa upanga"'
 
Analialia tuu,mara atoe kauri Bungeni mwenyewe,mara aikane navkuomba radhi!Na ubunge kwake byebye!
 
Kwa hili nakuunga mkono kuwa kila baya LAZIMA lilipwe hapa hapa duniani. Mfano Lissu alimtendea mabaya sana Mbowe, leo yupo sehemu anafanya malipizi ya mabaya aliyomtendea Mbowe. Na bado tetesi zinasema mpaka ale kitanzi!
 
Haws watu walishajichanganya kuitangazia Dunia JPM alikuwa dikteta,wakati kipindi cha utawala wa Magufuli sisi maskini tulijaa matumaini ya kufika katika Nchi ya ahadi,Leo hii hatuna matumaini tena tumebaki kumwachia Mungu atunusuru katika dimbwi la Matatizo
 
Ulicho sema kina weza kuwa na ukweli ila tatizo lako ni akili ...sasa nakupa hii akili ...KIAKILI TUNASEMA MPUMBAVU MMOJA ANAWEZA KUHALIBU KAZI ZA WENYE AKILI 1000 ILA MWENYE AKILI 1 AWEZI KUBATILISHA UPUMBAVU WA WATU 1000 ....MWENYE UWEZO WA HIVYO NI MUNGU TU ...hii kanuni ni yamsingi kujibu hoja yako juu...ndiyo maana democracy africa itakuwa na hasara badara ya faida ...maana kanuni ya democracy kuwa na faida inasema nilazima kwenye hiyo nchi ya kidemokrasia kuwe na uwiano wa wenye akili wengi zaidi ya asilimia 50% kuliko wapumbavu...kwa waafrica uwiano baina ya wenye akili na wapumbavu upo hivi kila mwenya akili mmoja 1 kuna wapumbavu 20...sasa niambie ni vipi demokrasia inaweza kuwa na manufaa africa.
 
Kosa kubwa sana walilo lifanya na kibaya awatambui hata sasa kuwa walifanya kosa japo yanayo wapata sasa hivi ni mabaya na yatazidi kuwa mabaya kwao ...huu ni ushahidi kuwa chadema kuna wapumbavu wengi sana.
 
Jiwe alikuwa dikteta mshenzi wa tabia. Huko aliko afe tena
Akili zako ni sawa na akili za samia aliona urais ni kazi nyepesi hivyo kudhani hata mpumbavu anaweza matokeo yake ndiyo haya...NI LAZIMA RAIS MZURI WA TANZANIA AWE NI DICTATOR KWA SABABU TANZANIA IMESHATIWA MIKONONI WA WAHALIFU WA NDANI NA WAKIGENI KWA KUPITIA UFISADI WAO ...ILI KUREVESI HAYO NI LAZIMA NI LAZIMA RAIS MZALENDO A SWITCH DICTATOR MODE kupambana na hayo ...mfano mikataba ya kifisadi ya bandari unawezaje kufumbua ilo fumbo bila ya udicteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…