PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mnainadi kipindi cha kampeni kwa kuisona tena ingekuwa rahisi sana kuisambaratisha ccm hata mngeweza kuisajiri mahakamani kuwa kiapo kwa wananchi kama wakiwachagua kuwa hiyo ndiyo itakuwa katiba ya nchi hivyo mazuri ya hiyo katiba ingeiyumbisha ccm na kuifarakanisha na wananchi .. ccm inapata upenyo kwa sababu nyinyi hamna katiba inayo julikana mtakayo tumia kwa wananchi ...pia ingeondoa kila mwana chadema kuropoka kivyake maana kila mmoja ange hubiri hiyo katiba . Mfano kwenye mambo ya uraia katiba yenu ingeweka sawa kuhusu uraia na daraja zake nk CCM INGEPATA TAABU SANA
 
Haujaelewa Magufuli alifungia watu akaunti ambao ni wafanyabiashara wa kawaida. Kuna watu wana viwanda na mahoteli. Kuna watu wanafanya biashara pasipo kufanya kazi na serikali. Unaowaona matajiri wakubwa wa nchi hii hawaumizi vichwa. Hao matajiri wakubwa wamebebwa na serikali hadi na serikali ya Magufuli. Ninajua watu wambao wamepambana toka miaka hio mpaka wakatoboa. Kuna watu walianza na udereva taksi mpaka kumiliki biashara kubwa. (Marehem Melau Mrema na Willy Chambulo)JPM aliweka nguvu Sehemu ambayo sio. Aliwafungia watu akaunti zao na kuchota hela kibabe. Baada ya kuona hakuna hela ikabidi amfungulie kaka yake Rostam kesi ya ujangilj ili Rostam aje. Baada ya Rostam kufungua Taifa gas na kuanza kuuza gas Kenya,Uganda na Rwanda angalau akapata ahueni. Alivyofariki wafanyabaishara walipata ahueni. angalau.

Hauwezi kuzuia ubepari mtu anapambania familia yake na watoto wake akifanikiwa unataka awe sawa na mtu mjinga na mvivu wa kufikiri.
Part 1 mdogo wake Rostam anafunguliwa kesi ya ujangili

View: https://youtu.be/vl8EpKNeIoc
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 31.10.2018
Part 2: Mdogo wake na Rostam aachiliwa kwa kulipa faini

View: https://youtu.be/1zOhcsecoVo
Part 3 Rostam anarudi nchini na kumpeleka lowassa Lumumba


View: https://youtu.be/nUXToHSW0eQ
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 01.03.2019
Part4:Rostam bega kwa bega na JPM katika uzinduzi wa Taifa gas

View: https://youtu.be/IGblup4RPhg
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 25.06.2019
Part 5:Baada ya Taifa Gas kufanya kazi vizuri kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu na mzunguko kuwa sawa kidogo.Rostam apewa kiwanda cha ngozi na aahidiwa ubunge wa Morogoro akiamua kugombea

View: https://www.youtube.com/watch?v=Bs18vR_OF4I&t=76s
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 12.02.2021
Halafu naomba ujiongeze JPM alikufa lini ? Je kulikuwa na matatizo makubwa sana mpaka kumuhitaji Rostam ? Na je hayo matitizo yaliiisha kabisa au yalitulizwa kidogo ? Namalizia jiulize hayo matatizo ndio yalipelekea kifo cha JPM ? Unafiki ni kitu kibaya sana.

View: https://www.youtube.com/watch?v=zxnRBL0V3UI&pp=ygUaamFuZXQgbWFndWZ1bGkgbWlsbGFyZCBheW8%3D☝️ ☝️ ☝️ Jesca ameshaandaliwa kumpigia kampeni mama kupitia nyie mnaoamini Magufuli alikuwa Rais Mtakatifu.
 
Ila bado hayajamkuta tuyatakayo Hawa watu wameumiza wengi ccm karibu wote ni kuwaombea vifo vya mateso basi.
 
Jamani tuseme kweli hakuna usalama wa taifa chini ya sa100 nchii imekuwa shamba la Bibi.
 
Unacho suggest hapo kwenye bold kina ladha nzuri lakini hakitekelezeki.
 
Wewe akili zako ndogo sana hao ni mafisadi huyo rostam unaye mtaja umjui magufuli siyo mpumbavu wa kufungia biashara halali ya mtu kumbuka ..kumbuka mpuuzi Tulia alivyo mfanyia figisu sugu wa mbea kuhusu uwekezaji wake wa hotel je JPM alisemaje ...kama akili za chadema zinawaona IPTL ni wafanya biashara basi akili zenu ni duni sana ni kama DPW ...mafisadi na wezi wa kimataifa ujivisha majina mema kufanikisha wizi na ufisadi wao ..jifunze kwa kina mwamposa na mazhekh ubwabwa ...siku akitokea Rais mwenye akili timamu na nyingi lazima hao wafilisiwe mali zao na kufungwa jela ...NA HAPO WAPUMBAVU MTAMWITA HUYO RAIS DICTATOR KUMBE NI MPIGANIA HAKI .
 
Sasa kama Magufuli alikuwa Rais wa wanyonge kwa nini alimpa Rostam monopoly ya gas ya Tanzania ndugu yangu ? Na baada ya kuzindua Taifa Gas akampa na kiwanda cha ngozi morogoro. Na akamuahidi kumpigania kampeni za ubunge akiamua kuchukua jimbo la morogoro ? Ndugu yangu enzi za Magufuli haukuwa serikalini na haujui kilichokuwa kinafanyika bora ukae kimya nimeleta na ushahidi. Naomba ulete hoja zako pamoja na ushahidi.

Na kama unampenda magufuli unaachaje kumpenda mama ? Maana mama anarefer kwa Magufuli. Magufuli ndiye rais wa kwanza kumpa ndugu(binamu yake Biteko) uwaziri mama akaendeleza kazi na kumpa Mchengerwa(mkwe wake) uwaziri. Magufuli ndiye Rais wa kwanza kuwajaza watu wa asili yake serikalini (watu wa kanda ya ziwa) mama akaendeleza kazi amejaza wazanzibari serikalini. Magufuli ndiye Rais wa kwanza kupendelea alikozaliwa (Chato) mama akaendeleza kazi na kupendelea Zanzibari.

Hivi vitu vitaendelea hadi kwa miaka 100 ijayo tusipokuwa makini. Magufuli alifanya watu wengi wenye uwezo wa kuwa marais watamani kuwa Rais. Yeye ndiye aliyweonesha kuwa ukiwa rais unaweza kufanya lolote na chochote. Tukiendelea na hii katiba awamu mbili zijazo tutakuwa kama Congo au zaidi ya Congo.
 
Unacho suggest hapo kwenye bold kina ladha nzuri lakini hakitekelezeki.
Hayatekelezeki kwa wenye AKILI NDOGO TATIZO UMELISEMA MWENYEWE SASA NI AKILI .... SHUJAA AITWI SHUJAA KWA KUFANYA MAMBO MEPESI BALI YALE YALIYO HONEKANA HAYATEKELEZEK8 NDIYO MAANA JPM ALIPATA SIFA NA HESHIMA HATA SGR YA UMEME KAMA SIYO UJASIRI WAKE INGEKUWA NDOTO..leo kampeni za chadema kila mtu ana ropoka yake mwingine nita futa bodaboda ni laana ..mwingine nita dhamini boda boda ndiyo maana mmefarakanisha nafsi za wananchi mnakosa nguvu ...UFALME ULIO FARAKANA HAUTA SIMAMA
 
Sija soma ulicho andika maana inaonekana ujui magufuli alisema nini kuhusu gesi ...aliye mpa Rostam momopoli siyo JPM rudi miaka ya 1995 kuja juu mzozo wa mzee mengi na genge la kifisadi la bwana rostam azizi ....Rostam azizi alifanya vikao vya siri na kundi lake na vibaraka wa ccm kuakikisha hakuna mkristo na mbantu kwenye biashara ya machimbo ya gesi maana mzee mengi naye aliomba vitaru vya kuchimba gesi ...bwana azizi akitumia rushwa na ufisadi wa kufa mtu ndani ya ccm na serikalini ndipo ikatangazwa bungeni kuwa mengi ni masikini hana uwezo wa kuwa mdau wa gesi ...unajua kwanini gesi yote tz ipo mikononi mwa watu wenye ajenda moja lengo ni kufanikisha wizi na ufisadi wa kumkamua mwananchi kwa kumpiga bei kubwa ...au tazama bei za simu baada ya jpm kufa na Rostam azizi kujiingiza je huoni kuwa bei za simu zipo nje ya ushindani zimepangwa fixed lengo ni kumkamua mwananchi .
 
Sasa ndugu yangu kama rostam fisadi alipewa hadi support ya kugombea ubunge ? Akapewa kiwanda cha ngozi morogoro ? Huoni unatetea ujinga ndugu yangu. Serikali iikuwa haina hela kipindi hiko mpaka Rostam akaja na kuipatia serikali ahueni. Hata kabla hajafariki Magu aligundua wanafiki walikuwa wengi. Mtu anakaza halafu anaruhusu ndugu zake waibe unategemea nini ? Na hao wasukuma wakiiba wanaishia kuongeza wake na kununua magari na siyo kuanzisha biashara. Kuna yule Kigangwala aliiba mabilioni na biashara aliyoanzisha ni ya mazao. Sasa mtu anaiba badala ya kufungua biashara na kuongezea mzunguko wa fedha anaongeza mke na magari ya kifahari.
 
Mjadala umekuwa mzuri sana, Tuendelee kujifunza, japo Mamluki wachache wanataka kuuharibu
 
Jikite kwenye mada
Mada hapa ni Gambo, Magufuli kuendelea kumtaja kwa dhihaka namna hiyo wakati alikuwa ni kiongozi mzalendo na mpenda haki ni kujitukanisha mwenyewe.

Kelele za kumlaani Magufuli sisi huziweka kwa kundi la watu waliokuwa na makando kando katika jamii enzi za utawala wake, je na wewe upo kundi hilo?

Kosoa unavyoweza lakini kumwingiza Magufuli wakati ukijua kabisa kuwa alipendwa na watu wengi, kasoro kidogo kwa kundi la wabaya ni kujidhalilisha mwenyewe na kutukana WaTz waliomwamini na kumpenda.
 
Uongo hautakusaidia chochote, Unataka tukuwekee hapa waliouawa wakati wa Jiwe, unadhani hawana ndugu wale au unataka kusema ni Wanyama wale
 
Alikuwa dictator katili muuaji na mpoteza watu sasa anatesema motoni
 
Hii clip iko wapi siioni tena? Mayor vs Mrisho Gomba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…