PreGE2025 Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We mwenyewe unajua kabisa unacho kisema ni uongo, CHADEMA na wananchi CCM na w3zi wa mali za umma hivyo
unajuaje?? kama huko alikuwa anazuga na kukusanya taarifa?? maana naona yupo happy kurudi timu kuwa ya kimataifa
 
unajuaje?? kama huko alikuwa anazuga na kukusanya taarifa?? maana naona yupo happy kurudi timu kuwa ya kimataifa
kukusanya taarifa azipeleke wapi? habari za FC Barcelona (CCM) azipeleke kwa Leicester City F.C. (defunct CDM) timu iliyokufa??
 
Ni kweli Gambo alifanya maovu makubwa na ukatili pia kama ilivyo kwa sabaya.
ILa yupo mmoja kapitishwa kwa "kibali toka juu," huyu mtu alifanya uharamia na ukatili wa kutisha alipokuwa RC
 
Alwatan Mrisho Mashaka Gomba hastahili huruma yeyote ajue karma ipo na malipo na hapa hapa aendelee kutunza kiunua mgongo chake
 
atapangiwa majukumu mengine

chadema mnaadaika kiraisi sana kwani mmekuwa watu wa visasi sana nchi haiendi hivyo ndugu
 
Vipi makonda nae karma imempendelea ama.
 
Moderator Rejesha kichwa cha Habari cha uzi huu kama kilivyokuwa ili watu waelewe tulichokilenga, Vinginevyo uondoe uzi wote

Huu uzi haujaandikwa leo, kwanini uedit heading leo, kipi ambacho hukukiona ambacho umekiona leo?

Ingekuwa busara ukaufuta uzi wote badala ya ulichokifanya.

Natanguliza Shukrani
 
Kuna baadhi ya nyuzi hapa JF zinapaswa kutengenezewa mitaala kuwa Faida ya shule zetu
 
Alipiga pesa za michango ya watoto waliofariki kwa ajali huko Arusha kwa madai ya kujenga hospitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…