demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Aisee Mimi sijaliona vyema hili tukio.
Nasikia huyu Bench warmer aliingizwa dakika za 70 na akaonekana anaingia huku anavaa hereni.
Yaani Timu yako iko nyumba ya bao moja unapata muda wa kujivika hereni?
Tena ukizingatia una miaka 34 na zaidi.
Basi huyu jamaa hafai hata kusajiliwa DTB Kama ni kweli.