Hebu niambie ungekuwa wewe ndo huyo Kinyozi ungekuwa unawaza nini?

Ingekua bongo huo mtaa wote hukuti watu na polisi nao wanavizia hakuna wa kusogea yaani sio raia wala polisi wote waoga ila ikipigwa wabongo wanakimbilia sauti kwenda kujua kuna nini yaani bongo ni shiiiidah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona kama lijamaa limeshikiria trigger ukizingua kichwani kwake tu anatibua sherehe
 
Naona kama lijamaa limeshikiria trigger ukizingua kichwani kwake tu anatibua sherehe
Patashika nguo kuchanika ndugu! .Kalashnikov hana maana kabisa watu wanabuni vitu vya kurahisisha maisha na kumsaidia mwanadamu yeye kabuni hilo li kitu. Eti engineer! akijinasibu mbunifu!
 
Mmmh hapa nikimaliza kunyoa tuu ananiwekea mtutu kichwani huku akiniamrisha tembeaa
 
Hiyo ni Somalia jamaa hawana utani hao utakuta na kinyozi ana hand grenade mfukoni [emoji378]
 
Kinyozi anaonekana kujiamini na amenuna kweli. Atakua naye ana lake hapo pembeni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…