Hebu niambie ungekuwa wewe ndo huyo Kinyozi ungekuwa unawaza nini?

Ingekua bongo huo mtaa wote hukuti watu na polisi nao wanavizia hakuna wa kusogea yaani sio raia wala polisi wote waoga ila ikipigwa wabongo wanakimbilia sauti kwenda kujua kuna nini yaani bongo ni shiiiidah
Kwahiyo,
Nini ushauri wako?
 
Yawezekana baba na mwana ila baba amesha ikoki na ameshikilia trigger sijui kwa nini? Mimi ningefunga saloon kabla hajaingia nikidai naenda toilet au kununua luku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…