Hebu niambieni, hii imekaaje?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Mtu ana mgeni wake,let say Garryson, Garryson ni mwenyeji,mgeni wake Let say ni Bakari. Sasa katika meza moja mwanzoni walikuwa Garryson na Bakari wakibadilishana mawazo ya hapa na pale, mara anatokea binti Girlfriend wa Garryson, Abela na kujiunga katika ile meza. Mwishoni baada ya mazungumzo wakati wanajitayarisha kuondoka, Garryson alitaka kumsindikiza Bakari kituoni, Garry anamtaarifu Abela kwamba anamsindikiza mgeni wake kituoni lkn Abela hakutaka Garry amsindikize anataka asindikizwe yeye,mara Garry anamwacha/anaachana na mgeni Bakari pale mgahawani na kumfuata Abela wake na kuelekea katika safari zao.

Je ni halali kwa Garryson kuachana na mgeni wake Bakari bila kumfikisha kituoni na kumpa kipaumbele mpenzi wake Abela?

Kama Abela akiwa mke itafika mahali hata mume wake hataweza kumsindikiza mgeni yeyote mahali. Hii tukio nimeliona live.
 

mmhh....nimejitahidi sana kukuelewa nimeshindwa
 
Ni hatari; na ni jambo la kukemea likiachwa liendelee litakutenga na jamii, itafikia mahala hata misibani hutakwenda!; Pili labda Bella alikuwa na wasiwasi basi wangemsindikiza kwa pamoja!
 
Ni hatari; na ni jambo la kukemea likiachwa liendelee litakutenga na jamii, itafikia mahala hata misibani hutakwenda!; Pili labda Bella alikuwa na wasiwasi basi wangemsindikiza kwa pamoja!

Ni kweli kabisa MJ, kitendo cha kuzuiwa na mtu kutokwenda na mgeni mi nafikiri ni uchanga wa mapenzi au common sense si ya kutosha!
 
Ngoma huanza na lele.
Dalili ya mvua ni mawingu.
Siku njema huonekana asubuhi.
Maumivu ya kichwa huanza taratiiiiiiiiiiiiiiibu.
Na kadhalikaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Papa Mopao,

Yaani ume-mind kiviiiiiiiiile kutosindikizwa kituoni na kwa kuwa she kapewa kipaumbele?

Get a life dude and get over it!
 
Ngoma huanza na lele.
Dalili ya mvua ni mawingu.
Siku njema huonekana asubuhi.
Maumivu ya kichwa huanza taratiiiiiiiiiiiiiiibu.
Na kadhalikaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
You can say that again mkuu.....very comprehensive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…