hebu nipeni jibu ili nami nijiajili...maana nmesubiri ajira mpaka nimechoka.

hebu nipeni jibu ili nami nijiajili...maana nmesubiri ajira mpaka nimechoka.

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
wakuu naweza pata wapi destop flatscreen nzuri na kwa bei gani? iwe na specification hizi, 80GB HDD, 2 or 1GB RAM, CDR yaani inaweza kuban, aina ya Dell. usisahaukuniandikia specification na aina pamoja na bei.
 
Kwa ushauri usipende sana bidhaa za dell eventhough ni nzuri sana because vikija kuharibika kupata accesories zake huwa shida sana kama vp try compaq or mercury ni za maisha marefu an good for business
 
Nenda Kariakoo Ndugu. Maximum Laki 4 unapata complete (CPU+Screen+Mouse+Keyboard)
 
Kwa ushauri usipende sana bidhaa za dell eventhough ni nzuri sana because vikija kuharibika kupata accesories zake huwa shida sana kama vp try compaq or mercury ni za maisha marefu an good for business

Ni kweli, dell huwa zinasumbua sana. Nilishawahi kupost uzi nikielezea jinsi dell zinavyosumbua, na hususani hizi dell za mwaka 2006 kuja juu. Zina tatizo la AMBER LIGHT kuwa yellow badala ya green, na hivyo kupelekea kompyuta kutowaka.
Nilipo-google nikaambiwa huenda tatizo ni MOB, procesor au processor fan au power supply.
Site moja ikaniambia kuwa dell baazi ya dell zina tatizo la heat sink, linalosababisha processor fan kusimama na hatimae processor kushindwa kufanya. Site hiyo ikaniambia kuwa dell wenyee wamekili kupokea vifaa feki vya heat sink.
Kwa hiyo nakushauri ununue hp compaq au aina nyingine.
 
Ipo dell harddisk 80,RAM 1GB,processor ni 2.4GHZ,DVD WRITER(ina burn),flat screen inc16.bei yake ni lak nne na thelathini.namba zangu ni 0655222214 na 0768222214.tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom