koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 981
- 1,606
Poleni na majukumu wakuu,
Niende kwenye mada. Kwa wale ambao washaangalia filamu flani za Kimarekani zinaitwa THE PURGE nadhani wanaelewa nini kilikuwa kinafanyika mule, kwa wale ambao hawajawahi ntaeleza kiufupi.
Ni kwamba ilikuwa kila baada ya muda fulani Serikali ya Marekani ilikuwa inatoa muda wa masaa 6 yaani kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi matukio yote ya kiuhalifu yalikuwa yanaruhusiwa iwe ni kuua, kuiba, kubaka na ushenzi wowote ule unaoufahamu, na hakuna kukamatwa maana vyombo vyote vya ulinzi vinakuwa havipo active kwa wakati huo.
Sasa niulize kama ikitokea kweli katika maisha halisi na ikaletwa Tanzania wewe kama mpenzi msomaji nini utafanya? Utaenda benki kuchota mihela? Utamtafuta mtu aliyekufanyia ubaya ulipize kisasi? au utamuua nani na kwanini.
Twendee!