Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Hawa watoto wa watu mnawakosesha masomo ili wafeli muendeleze kilinge chenu cha mafioso kwa kutawala taifa la wajinga..ama, kweli mipango yenu inafanikiwa!Sijaona upuuzi wa aina yoyote hapo! Zaidi ni kampeni murua zaidi!
Inawauma wapinzani, poleni na matokeo ya 31 Oct 2010 utayaita upuuzi mtupu.
Wanaosema upuuzi basi wao ndio wapuuzi,kwani kuna sheria gani inayomkataza mwanafunzi kushabikia Chadema?Na je hao wanafunzi wa sekondari hawapigi kura iwapo wametimiza miaka 18?Acheni ujinga kuweni wakubwa na si kushabikia upuuuuuuzi tuuuu.Sema ndio palipo ndio na Sio pasipo sio!
Hata Zanzibar ilikuwa hivi hivi. Ukiangalia zile Video, ni vitoto vya shule vimejaa.
Dr. Slaa akataze wanafunzi kuja na Uniform. Kama wakitaka basi waje kama Raia.
Hebu ona hivi vitoto......
Hata Zanzibar ilikuwa hivi hivi. Ukiangalia zile Video, ni vitoto vya shule vimejaa.
Dr. Slaa akataze wanafunzi kuja na Uniform. Kama wakitaka basi waje kama Raia.
Hebu ona hivi vitoto......
Inasikitisha sana, tuna kazi kubwa sana mbele yetu - hiki ndicho kizazi kipya, hiki ni kizazi tunachotegemea kitetee mageuzi ili kuwepo na demokrasia ya kweli, ni hiki hiki kizazi kinachoambiwa kina kiherehere - leo hii kipo juu kuwakilisha wenzao kwamba CCM numberi One. Wakubwa hayaniingii akilini kabisa. - huu ni uonevu mamboleo.
Mbona mimi sioni kitu wazee au ni hili liPC la hapa net?
Huyu mwimbaji wa nyimbo zadini sijui amefunuliwa kwamba JK na crew yake wanafaa, au ndo kalipwa!
We are suddenly doomed!
......nilifikiri pekee yangu naona maluweluwe.......!
NL, mnaweza kuwa na hili tatizo la kutumia IE. Mkiweza basi tumieni Firefox kama ni computer zenu. Na kama mnatumia hiyo Firefox basi mnaweza kuwa kwenye options kuna kitu mnazuia. Kama ni Laptop, nafikiri Max Mello na vijana wake huwa wanasaidia sana kama uko Dar.
Ila kweli nimesikia jamaa akisema CCM OYEEE........ watu kimyaaaaa....