Barakoa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2020
- 741
- 1,352
Ni matumaini yangu kila mtu kwa nafasi yake anadhidi kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19.
Hawa jamaa walipata kutuburudisha sana wakati ule kwa vimbwanga vyao, simu za mikononi na mitandao ikiwa bado ni ndoto kwa wengi wetu. Hebu kipange hiki kikosi hapa chini kadri unavyokikukumbuka.