au labda ni refa eti ?Nimeshangaa hayupo kwenye kikosi. Atakuwa ndo alikuwa nyuma ya Camera.
Golden Boy Mapungo si alikuwa kwenye gazeti la Bongo ?Kipepe juu kushoto winga, aliyeshika mpira Madenge alikua kipa, aliyevaa shati Meko alikua mshambuliaji, aliyevaa kapelo Lodi Lofa alikua kiungo, namba 7 au 8 ni Mapung'o alikua anajiita Golden Boy Mapung'o.
Wengine hao ni nyongeza.
ivi zena na betina hawakuwai kuhusika kwenye soka kwa namna yeyote ile.?Profesa Ndumilakuwili.
Hapana bwana kwani Zena na Betina si walikua Sani?Golden Boy Mapungo si alikuwa kwenye gazeti la Bongo ?