Kipis
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 501
- 79
Ni karine nyingi sana tangu afrika mashariki ilipoanzisha msemo wa lunga ya kiswahili. Na hii ilisababishwa na muungano wa wageni nchini na wenyeji.
Tangu wakati huo, lugha hii ilichukuliwa kama chombo cha potea kwani watalamidhi wengi nchini walijikita zaidi na lugha za kigeni!!
Is it true about this!
Tangu wakati huo, lugha hii ilichukuliwa kama chombo cha potea kwani watalamidhi wengi nchini walijikita zaidi na lugha za kigeni!!
Is it true about this!