Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
wanawake wana-run dunia.
Si unajua kila boss ana aboss wake.
Eti boss wa dunia sasa hivi ni Michelle Obama.
Wewe kweli unashangaza hivi hujui ahata vitabu vya mungu vinasema lazima tuowe....Yani ungejua umuhimu wa wa wanawake usinge kuja na thread hii.
Asiye penda wanawake nani? hata wanyama ambao hawana akili akipita jike unaona anamrukia kwa furaha iwe binadamu wenye akili unataka wasipende wanawake.
Nend akanywe pombe wacha vijana wachangamkie wanawake.
Kupondana ni lazima, tusipo pondana hatutajifunza.Jamani Fazaa basi nyie wanaume have a strange way ya kuonesha mwatupenda..... Mbona sasa threads nyiingi ni za kutuponda na za sifa ni chache? ni nadra saana akaja mkaka hapa jamvini na kuanza kusifia wanawake kwa mengi ambayo twaweza, inakuaje siku zoote ni lawama tu?
Mungu aliwaumba wanawake wasiwe na akili lakini watumie akili ya wanaume kuwaendesha. REVERSE PSYCHOLOGY ONE ON ONE.
Kupondana ni lazima, tusipo pondana hatutajifunza.
Yani hata mimi kama wife wangu atakuwa ananisifu kila siku, basi lazima tachukia tajua ananiona mwehu....mimi napenda sana pale wife wangu ananisomea makosa yangu hapo ndo najua ananipenda :biggrin:
OK nimekupata sasa.....Mimi kusifia wanawake ndo tabia yangu, yani hata wewe ungekuwa mbele yangu ningeisha kusifiia :biggrin:Hujanipata.... Sikatai kuponda.... nakataaa kuponga tu! bila kumsifia huyo mkeo.... Hivo akikosea utumie kipaza, akipatia yaishie moyoni?
OK nimekupata sasa.....Mimi kusifia wanawake ndo tabia yangu, yani hata wewe ungekuwa mbele yangu ningeisha kusifiia :biggrin:
What I said about women is true; I quoted from the Ahadth of Prophet Muhamad(saw) Wazungu wana methali yao inyo sema "WHEREVER THERE IS A KING, THERE IS A MUCH POWERFULL QUEEN"
Abubakar Sidiqu(ra) alikuwa akitoa khutba nzuri sana za ijumaa. Mkewe aliposikia hivyo akamkorofisha just before kuelekea kwenye sala ya ijumaa. Siku hiyo hakutoa khutba yeyote.
Kadhalika embu fikiria kwa nini boss siku zote akifurahishwa na wife wake offisini anakuwa best to all. Lakini kama mama ngina akimkorofisha tu, offisi haikaliki.
Vipi Hawa aliweza kum seduce Adam!!!!!Lizzy,Ashadee, smile I hope I have not ofended you and all ladies in JF. Sisi tunajenga magorofa all these are to show you ladies. After all hata Tausi ni jogoo ndiye aliyekuwa anabeba jikia kubwa la meremeta and all for whom. To impress chicks.
Your words are true to the core.... I love them and they are my Belief, I don't mind if men talk about women all the time (after all they are thinking of them every few seconds); What I mind thou is that this forum (MMU) is full of subjects reprimanding women in all angles, but no single thread is their to positively talk about us in the Great things we aspire to do for you species....