Hebu sema ukweli, ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Hebu sema ukweli, ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Umepata mpenzi mpya unaona ujikakamue umtoe out. Mnaingia mahala pa nguvu, anakula anakunywa vizuri sana hatimae unafika muda kuondoka,
anakwambia kuwa atalazimika kurudi kwao maana baba yake mkali, unajichekelesha na kutoa hela yako ya mwisho kumlipia taxi inabakia na mia tatu za daladala kwenda kwako.

Unamuaga kuwa kuna biznes patna jirani unaenda kudiskas nae biashara yenu, unakula kona na kwenda subiri daladala. Hatimae gari linafika unaingia ndani na kwa mshangao unamkuta mpenzi nae kumbe kaminya mkwanja kaamua kupanda daladala.

Unafanyaje?
 
Ntamuowa kabisa inaonekana anajua kubana matumizi..🙁🙁
 
Ha. Ha ha ha hapo unabadl location hakuna kwenda kwa mshua maana najua itakua sound tu mnapitlza geto asubh ile naul mnanywea supu
 
Back
Top Bottom