Elections 2010 Hebu Shimbo ajitokeze sasa tuone

Elections 2010 Hebu Shimbo ajitokeze sasa tuone

RMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2010
Posts
409
Reaction score
87
Shimbo aliviasa vyama kukubali matokeo. Sehemu nyingi sasa CCM wanayakataa matokeo na hata kuyachakachua. Amekaa kimya kana kwamba amesahau kuwa alitoa kauli kali, tena akiwa amekunja uso na kukodoa macho mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango. Hebu iwapo kama ana mbavu ajitokeze sasa awakemee wana CCM.
 
Hivi kwanza anastahili hata kuwa Mnadhimu Mkuu wa jeshi??
 
Back
Top Bottom