Hebu Sikieni Furaha Yangu


kweli kabisa da pearl yote hayo yanawezekana na namshukuru Mungu sana na vyovyote vile ndio siri ya furaha yangu. hebu jiulize wasichana wangapi wameingia mkenge kwa gia kama hizo? kwa nini mimi nisifurahi?
 

yap, zote hizo ni probabilities. nafikiri sisi tusiwe mahakimu ila ni ujasiri wa kutia moyo kuitetea heshima yako hadi kiwango cha kuiomba na kuipokea mimba na mtu amabaye huna mapenzi naye kwa sababu tu ya kuwa na uzazi wenye heshima machoni pa jamii. huyo dada ni wa kupongezwa sana na ni wa kumwombea sana kwa Mungu amjaalie moyo wa aina hiyo zaidi na zaid na ikibidi aulainishe. bado inabaki kuwa kwa watu kama hao kusameheana ndio bora zaid

asante kwa kuleta kisa kingine cha kusisimua kuthibitisha kuwa haya yanawezekana. kwa kweli kimeongeza furaha yangu
 
Orait...got u....so it wasn't for u.... it was rather for them.....
Hivi katika hili who wanted ana out....him or her?

i think both, it was a matter of time and circumstances
 
Kiukweli mie nimekuelewa kuwa ulikuwa na very good intentions from the word "go"!!!.

Ubarikiwe kwa hilo
 
Naamini huyo jamaa hakukidhi vigezo vyako, wewe ni binadamu una mapungufu yako pindi unapo kutana na kitu unacho kipenda.

hakukuwa na mambo ya vigezo kaka, ni kwamba my time hadn't yet come
 
lo, wanaume bwana hisia zenu zote ni hukohuko. Wala sikuwa namtaka nilikuwa nataka kuwapatanisha. Halafu sikuwa na mpango na ndoa wakti huo kwani nilkuwa bado niko chuoni

congs dada. Wanawake wote tungekuwa na moyo kama wako kusingekua na watoto wa mitaan,talaka wala watu kutengana. Mungu akubariki
 
Good...naturally i hate separations.....japo wakati mwingine haiepukiki....:A S thumbs_up:

yap, God hates separations too, so lets join together to cerebrate this cheerful reunion. be blessed
 
congs dada. Wanawake wote tungekuwa na moyo kama wako kusingekua na watoto wa mitaan,talaka wala watu kutengana. Mungu akubariki

thanks dear Tatiana for your sweet words. be blessed
 

Heri wapatanishi.............
 
umefanya vyema sana ni furaha kubwa kwa wanandoa hao mungu awabariki
 
Si kuna swala la kusubili mama maana subira yavuta kheri shostito au sio?

you are right, but kumsubiri mume wa mtu! hilo nadhani shouldn't be even the choice of the last resort, si unaona kitendo cha kupiga simu tu kimewaunganisha. nafikiri tujifunze hapo kuwa hata watu wakitengana bado huwa kuna nafasi ya kurudiana, so tusiwe makwazo kwao na tuwatie moyo. na waliotengana nao wasiache japo kujuliana hali huwezi jua Mungu aweza kuondoa tofauti zao na kuwaunganisha tena kwa gundi isiyoyeyuka
 
Miss Judith,nadhani kama nimekupata vizuri,hawa wamekubali kuzaa pamoja siyo kurudiana.Kwa uelewa wangu mdogo nadhani watu kurudiana na kuishi under one roof ni tofauti na kuzaa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…