Hebu soma wimbo/shairi/tungo/utenzi huu kwa umakini.na fumbua siri iliyopo

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
1.Nakushangaa mwanadamu,Kila siku wahangaika, Asubuhi na mchana kutwa,Mimi TAMATA kunishinda.Kweli wanichukia ,Ila mimi nakupenda.NIPO NAWE SIKU ZOTE HATA KAMA HUNITAKI 2.Jina langu ni TAMATA ,Nimetumwa kukutesa,Maana furaha yangu kuona wahangaika,TAMATA ni jina langu sina undugu na wewe,NIPO NAWE SIKU ZOTE HATA KAMA HUNITAKI 3.Watu wenye hekima zao,Wameshindwa kunitoa,Daima wafikiria ,Namna ya kunitoa.NIPO NAWE SIKU ZOTE HATA KAMA HUNITAKI. 4.Kweli wanichukia , Ila mimi nakupenda.Nakwambia mwanadamu,Huwezi shindana na mimi.Wengi hawanitaki ,Ingawa nipo pamoja nao.NIPO NAWE SIKU ZOTE HATA KAMA HUNITAKI 5.Nakushauri mwanadamu, Fanya hima kunishinda, Maana usipo ni shinda,Utakuwa mtumwa wangu.NIPO NAWE SIKU ZOTE HATA KAMA HUNITAKI 6.TAMATA ni jina langu ,Haliwezi kufutika,Wenye ufahamu wa kina ,Wataweza kulifuta. NIPO NAWE SIKU ZOTE HATA KAMA HUNITAKI MWISHO SWALI. 1.Je TAMATA katika hii tungo ninini?
 
wewe kama ni mwanaume basi ni dume 'mbebez'. Nafikiri utakuwa mwalimu maana walimu wa bara la giza siyo wazima kiakili you know!!
 
Back
Top Bottom