Hebu taja Jina la Gari unayoijua uliwahi kuiona au kusikia

Hebu taja Jina la Gari unayoijua uliwahi kuiona au kusikia

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Katika hii Dunia kuna vyombo vya usafiri vingi tutajie majina ya magari uyajuayo!
 
Nmewahi kuendesha Suzuki swift 1300cc auto, Suzuki vitara mini manual na toyota chaser automatic.
All in all similiki wala sijawahi kumiliki gari yoyote
..ambao hatumiliki unaonaje tukiwa na thread yetu ya kufarijiana
 
Duh!!

Hivi kweli huyu ni wewe mkuu au kuna mtu kaingilia akaunti yako?
 
..ambao hatumiliki unaonaje tukiwa na thread yetu ya kufarijiana
Ni kweli kabisa mkuu, fanya kuanzisha thread ingawa mleta mada pia ametulenga ambao tunayaonea mtandaoni na ya kuazima ingawa katulindia heshima kidogo akaacha kututaja wazi
 
Kuna huyu jamaa anaitwa toyota crown majesta,,
,,,Anatembea huyu mwamba ni balaa,,,
,,Ukiona dereva wa land cruser kilimo kwanza anakupa mkono sio mchezo,,,
 
Back
Top Bottom