Salamu!
kwa wale wakristo na waamini wengine ati medically speaking, na kwa physiological facts naombeni sababu zilizopelekea kifo cha Yesu.
1. hypovolemic shock
2. shock due to pain
3.....
4.....
5.....
..
..
..
Karibuni tujadili, naomba tusiliidiscuss kwa kulenga imani, let's view it medically. Thanks!