buswagg
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 728
- 1,352
Wakuu habari zenu.
Nilikua quora website, kuna mtu aliuliza swali anataka kujua kama hiv ina dalili zototw za kupata tiba kamili.
Aliuliza kua amesikia fununu kwa ndugu yake yuko kitengo maalum cha utafiti huko USA, akaambiwa tiba ipo tayari almost 2 years now, ila ni siri cas wakuu wakisema ipo watapoteza mapato mengi sana (billion $s na kushuka kiuchumi kwa almost 33%).
Nikaona hii comment ya member mmoja nimeattach, nikawa interested kidogo.
Tafsiri yake in swahili ni'
"Mwanamume mmoja huko Ujerumani alipona ugonjwa huo mnamo 2018 akiishi vizuri. Lakini kaka yangu mkubwa anamfahamu mtu ambaye alihudumu naye jeshini ambaye alipata VVU kutokana na ngono mwaka wa 1996. Alikuwa Navy na baharia mwingine aliyepata VVU aligunduliwa katika Hospitali ya Jeshi la Wanamaji walimpeleka kwenye kituo cha utafiti cha Jeshi huko Virginia ambacho kinahusika na kemikali. , kibaolojia, ugonjwa wa maambukizi na kituo cha vita. Alikuwepo kwa mwaka mmoja walimpa baharia risasi 3 na vidonge 3 kwa siku kwa mwaka. Baada ya mwaka mmoja hakuwa na VVU na akarudi kwenye meli. Kwa hivyo serikali ina dawa lakini isiitoe bc watapoteza pesa kwenye tiba hiyo"
Ukimwi unaweza kua na tiba au kuna uwezekano ikapata tiba? hua naskia uchungu sana nilipompoteza kaka yangu na uncle wangu kisa huo ugonjwa[emoji58]