Hebu tujadili wadau..

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Wengi tumekuwa tukisikia, kujaribu, kuona, kuwahi ama kushawishi kwa namna moja ama nyingine juu ya suala zima la kutoa mimba.

Kunamambo mengi yanayoweza kupelekea mtu akafikia uamuzi wakutoa mimba, kwa kuangalia hizo sababu zote zinazopelekea watu kutoa mimba tujadiliane kuhusu madhara yanayoweza/yanayopatikana kwa kufanya kitendo hicho iwe KIAFYA au KISAIKOLOJIA. Nahata mengine kama yapo.

Karibuni wadau...
 
haya ma pro_life na ma pro_ choice njooni mjimwage hapa,kwa kuanza mkubaliane 'when does life start' ni pale mimba inapotungwa au pale mtoto anapozaliwa?
Uwanja ni wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…