Leomimi
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 2,547
- 872
Kuna baadhi ya ofisi za serikali ukiingia umevaa suruali ya Jeans au kimini huruhusiwi kuingia.Sijaona kama ni tatizo lakini inakuaje hata kwa anaefata huduma tu kwenye ofisi hizo nae avae kama maagizo ya staff yanavyosema? hili kweli limevuka mipaka mimi nadhani tuangalie ufanisi na sio haiba ya mtu.