Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Ulinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na Ethiopia yenye watu milioni 110. Gdp ya Kenya ni sawia na Gdp ya New Mexico ambayo ni mojawapo ya majimbo masikini zaidi huko Marekani. Tanzania hata haipo kwenye list kwa sababu Gdp yenu ni ndogo sana. Tulieni tutaunda list yenu baadaye.