Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Lile goli tamu sana, ningeweza kuweka clip ningeweka aiseeWeka clip
Ni goli lipi magoli yapo mengiLile goli tamu sana, ningeweza kuweka clip ningeweka aisee
Weka clip
Goli la kimataifa sana lile, kama alikuwa EPL kumbe VPL [emoji28][emoji28]
Inavyoelekea unashabikia Simba na Chelsea pia.Lile goli tamu sana, ningeweza kuweka clip ningeweka aisee
Inavyoelekea unashabikia Simba na Chelsea pia.
Sawa naona hapa tumefanana .Ni kweli stroke.
Weka clip
Zee la CCM upo?Sawa naona hapa tumefanana .
Tuwasiliane saa 3.00 usiku Oktoba 18 Kama utakuwa na nguvu...bodyguard wangu atakuwa ni Jesca Manji aka Betina..tehtehtehNawaonea huruma Yanga! Basi tu